MAPINDUZI CUP: MABINGWA URA, SIMBA SARE!

>>YANGA PEKEE IPO NUSU FAINALI HADI SASA!

AMAAN-STADIUM-17MASHINDANO ya Kombe la Mapinduzi ambayo ni Mashindano ya kuenzi Miaka 53 ya Mapinduzi tukufu ya Visiwa vya Zanzibar na Pemba, yameendelea Jana kwa Mechi za Kundi B.

Mapema Jana, Jang’ombe Boys walijizidishia matumaini ya kusonga Nusu Fainal kwa kuichapa KVZ Bao 3-1 na Usiku Mabingwa Watetezi URA walijiweka katika hali ngumu kufuzu baada ya kutoka 0-0 na Simba ambao sasa wana uhakika mkubwa kutinga Nusu Fainali huku nao Jang’ombe Boys wakinyemelea na Taifa Jang’ombe, waliobakisha Mechi 2 tofauti na wengine wenye Mechi 1, wakiwa bado na matumaini.

Kutoka Kundi A, Yanga tayari wametinga Nusu Fainali na kuacha kimbembe kwa Azam FC na Jamhuri kuamua nani anaungana nao.

Mechi za mwisho za Kundi B ni Azam FC v Yanga na Jamhuri v Zimamoto zote kuchezwa Jumamosi.

+++++++++++++++++

MSIMAMO:

KUNDI A

NA

TIMU

P

W

D

L

F

A

GD

PTS

1

SIMBA

3

2

1

0

3

1

2

7

2

JANG’OMBE BOYS

3

2

0

1

5

3

2

6

3

URA

3

1

1

1

3

2

1

4

4

TAIFA JANG’OMBE

2

1

0

1

2

2

0

3

5

KVZ

3

0

0

3

1

6

-5

0

KUNDI B

NA

TIMU

P

W

D

L

F

A

GD

PTS

1

YANGA

2

2

0

0

8

0

8

6

2

AZAM

2

1

1

0

1

0

1

4

3

JAMHURI

2

0

1

1

0

6

-6

1

4

ZIMAMOTO

2

0

0

2

0

3

-3

0

+++++++++++++++++

Leo ipo Mechi 1 tu ya Kundi A kati ya Taifa Jang'ombe Boys ambayo itachezwa Usiku.

KOMBE LA MAPINDUZI

Ratiba/Matokeo:

Desemba 30, 2016

Taifa Jang'ombe 1 Jang'ombe Boys 0

Januari 1, 2017

KVZ 0 URA 2

Simba 2 Taifa Jang'ombe 1

Januari 2, 2017

Azam 1 Zimamoto 0

Yanga 6 Jamhuri 0

Januari 3, 2017

Jang'ombe Boys 2 URA 1

KVZ 0 Simba 1

Januari 4, 2017

Zimamoto 0 Yanga 2

Jamhuri 0 Azam 0

Januari 5, 2017

KVZ 1 Jang'ombe Boys 3

Simba 0 URA 0

Januari 6, 2017

Taifa Jang'ombe vs KVZ (Saa 2:30 usiku)

Januari 7, 2017

Jamhuri vs Zimamoto (Saa 10:00 jioni)

Yanga vs Azam (Saa 2:30 usiku)

Januari 8, 2017

Simba vs Jang'ombe Boys (Saa 10:00 jioni)

Taifa Jang'ombe vs URA (Saa 2:30 usiku).

Januari 10, 2017

Nusu Fainali

Nusu Fainali ya kwanza (Saa 10: 00 jioni)

Nusu Fainali ya Pili (Saa 2:30 usiku)

Januari 13, 2017

FAINALI

Saa 2: 30 usiku.